4 yrs - Translate

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ametangazwa kuwa kocha bora wa msimu 2020/21 wa EPL akiwashinda Marcelo Bielsa wa Leeds United, David Moyes wa West Ham, Brendan Rodgers wa Leicester City na Ole Gunnar Solskjaer wa Man United. #JichoTVMichezo

image

Install Palscity app