TUMIA TANGO KUSAFISHA MACHO YAKO
Safisha uso wako kwa sabuni na maji Safi Kisha chukua taulo Safi au kitambaa maalumu Cha kufutia uso jifute unapofuta uso wako usitumia kitambaa chochote kile mfano kanga au taulo la kuongea hii ni kutokana na vitambaa hivo vnaweza kusababisha bakteria wabaya na kupelekea ngoz yako luharbka Kama huwez kubadli kitambaa kila wakati bas tumia tishu au wipes kufuta uso wako
Chukua tango osha vizur Kisha kata vipande vinne vya duara Kisha chukua vipande viwil viweke katika macho kaa kwa dakika tano kisha vitoe na kuweka vingine kaa Tena dakika tano Kisha vitoe
Safisha uso wako kwa maji tu Kisha paka mafuta yako fanya hivo angalau Mara tatu kwa wiki