Clever Albert created a new article
3 yrs - Translate

CLAUD MAKELELE MWANAJESHI ALIYESALITIWA BAADA YA KUMALIZA VITA. | ##sports#news#football

CLAUD MAKELELE MWANAJESHI ALIYESALITIWA BAADA YA KUMALIZA VITA.

CLAUD MAKELELE MWANAJESHI ALIYESALITIWA BAADA YA KUMALIZA VITA.

Claude Makelele, mzaliwa wa Kinshansa alieamua kuitumikia Ufaransa kama timu yake ya taifa. Alikuwa ni mtu haswa na alikuwa mtu muhimu sana na akaifanya dunia ijue Maana ya Jina la kibantu ‘Makelele’ kuwa ni kelele (noise).

Install Palscity app