Kila Nikifumba Macho Naiona Sura yake...
.
Bado nakumbuka kama Jana tu
.
Ilikuwa ni 26/04/2021 siku ya Jumatatu...
.
Nilikuwa nikitoa mafunzo kupitia magroup yangu ya whatsapp ya Afya |Uzazi.
.
Ndio siku nilioongea na Dada Rebeka ...
.
Akiwa ni mmoja ya wanawake waliojiunga na group letu kujifunza mbinu mbali mbali za kutokomeza tatizo la harufu mbaya ukeni.
Kutokana na ratiba Muda wangu wa kufundisha ulikuwa ni Kuanzia 2:30-3:30 usiku
Baada ya Muda kufika nilichukua simu yangu na kuingia kwenye magroup—nikafundisha mbinu 5 za kuondoa tatizo la harufu mbaya ukeni.
Wakati wa kipindi cha maswali na majibu kabla ya kuhitimisha mafunzo yangu, Wakati nimekaa kwenye kiti changu nakunywa maji...
Nikashangaa simu yangu inaita video call—kuipokea nikakutana na sura ya mdada wa makamo iliyojaa furaha Akaniambia kaka Boaz habari, kama utanikumbuka vizuri mimi ni yule Rebeka wa Mbeya.
Nikasema—Nakukumbuka dada Rebeka...
Akasema nimekupigia simu kwa ajili ya kukushukuru kwasababu kabla ya kuhudhiria mafunzo yako—nilikuwa nasumbuliwa sana na tatizo la kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu kari sana
Takribani miaka 17 Sikutamani kuwa kwenye mahusiano wala kujichanganya na wenzangu kwenye masherehe na shughuri zangu zingine …
Lakini baada ya kutumia ile bidhaa uliyoniambia tatizo limeisha kabisa nimekuwa msafi mpaka najitamani😊
Sitasahau siku hiyo baada ya Kusikia maneno hayo mpaka simu yangu ikadondoka mkononi mwangu...
Kisha akasema—Ahsante sana kaka Boaz—ulirudisha furaha ya maisha yangu
Kila siku Sura ya Dada Rebeka inanijia kichwani—na hiyo inanipa Sababu ya kuendelea kutoa elimu bila Kuchoka
Najua siuzi dawa bali—naokoa Maisha ya watu …
Kwasababu Leo ni Siku ya kuzaliwa ya Mdogo Wangu—basi Natoa OFA ya hii bidhaa inayoondoa harufu, uti, uchafu, miwasho na ukavu ukeni Kwa Tshs 35,400 Tu (Badala ya Tshs 48,30
Kupata Bidhaa Hii Nitumie Ujumbe Inbox Sasahivi >>> 0753 741 684
Ipo katika mfumo wa—Maji utatumiwa sehemu yeyote ulipo kwa gharama yako au utaifuata ofisini.
Maelezo jinsi ya kutumia utayapata—Baada ya kupokea bidhaa yako
P. S. OFA Hii nimetoa kwa wanawake 10 tu—kwasababu Leo ni siku ya kuzaliwa ya mdogo wangu…!