Nimekuja kugundua ya kwamba kama kuna watu wananyanyasa katika hii kenya ni wale wanafanya kazi za nyumba,mtanyanyaswa hadi lini,imajn uko na watoto wanaenda shule,inalipa fee,chakula kwa ajili yao then mtu yu akilipa 5k,how is that possible,plz Kenyans let's help those who are working as househelps na tuwasaidie kukataa kunyanyaswa,the list salary,Yani pesa ya chini zaidi inafaa iwe 10k ,,thank you
Rebecca Onywera
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?