3 yrs - Translate

Hellooo habari za mchana ?,Leo ngoja tuimbe kidogo ....kila siku me nawaza my future x2
Siachi kupambana kila pakikuchaa hapa kazi tu adi panakuchaa/
Kijana chacharika umri unakacha fanya juu chini utimize future/
Yeah
Endapo ukikosea usizani umepotea /
Usizani unapotea Kaza mwendo endelea /
Future ni kama ndoto kutimiza ndo msoto /
Zifanye changamoto kuwa njia za mitoko/

Eeeeh bwana hip hop is alive nigga

Install Palscity app