3 yrs - Translate

Dr Cow

Je una mtoto ambaye:
👉👫Anasumbua kula?

👉👫Ana nywele nyepesi kama mgonjwa?

👉👫Ana matatizo ya meno kuota?

👉👫Ana mifupa laini ambayo rahisi kuvunjika?

👉👫Mtoto ambaye hakui kwa haraka kama inavyotakiwa?

👉👫Anayeumwa mara kwa mara kikohozi na mafua?

👉👫Ana matege?

Jibu ni kwamba mtoto huyo ana upungufu wa madini hasa ya calcium
Sasa kwakua tunajua watoto hawapendi vyakula, ambapo vyakula hivyo vina virutubisho vizuri ikiwemo madini ya calcium ambayo ni muhimu sana katika suala zima la ukuaji wao.

Bf suma kwa kujua hilo inakiletea bidhaa inayoitwa DR COW maalum kwa watoto na wamama wanaonyonyesha kwa ajili ya kuongeza calcium mwilini mwake.

Dr cow ipo kwenye mfumo wa candy ambao watoto wengi sana wanapenda na ilivyo kama pipi, mtoto akionja tu anaweza kula vingi sana. Mtoto anatakiwa ale 4 tu ambapo kula hivyo vinne ni sawa sawa na mtoto aliyekunywa maziwa ml 200. Mtoto akianza kutumia hii bidhaa hata magonjwa yatamkalia mbali.

Dr cow inasaidia sana watoto na wajawazito.

Install Palscity app