3 yrs - Translate

Rescue team part 4
Nakumbuka kuna day nimepiga hustle the whole week, sasa weekend ndo kujipa raha mimi huyo #clubb44.Kufika nikaitisha kawaida #whitepearl 😁kidogo kidogo ule kadem kakafika kumbe huwa anaonjanga pia nlijaribu kujificha lakini nlikua nimekaa karibu na mlango.Kalikam aty nimbuyie #tuskercedar wacha majamaa wawili wafike kumbe huu dem anakuaga wa mmoja wao.Wakanitishia maisha mimi huyo kwa #rescueteam "nataka kuuliwa" around 18mins wakafika nani #Briankim,#Raymond, #Justus aka #Morongosi na #Brown 💯 saa hizo msee wa counter amenipea security, majamaa kuona #rescueteam ilibidi waniombee msamaha na mzinga waah sema kupiga sherehe😂😂
#mtaachanatu
#ananawechigeikondoo

Install Palscity app