Ipo siku watakusubiri nyumbani wakisema tunasubiri mwili wa marehemu na hawatakuita kwa majina yako wala cheo chako na ambao watakuwa makaburini wanahangaika ili wakuhifadhi ni wale ambao ulihisi sio level yako....#Ukielewa kifo umeyaelewa maisha
Follow @pegasus_sport_club