3 yrs - Translate

Rescue team part 1
Ogopa hii vijana ya kondoo center 😂
Kuna kadem hapa nimempata hapa stage Mimi Kama #muturimb nikaamua kumuuliza contacts lakini hata jina alikataa kuniambia,alifikiria ameweza bt nikatext #rescue team kidogo kidogo nikaona #Delvismorata #Amicus na #Gedionkiptoo wamefika na counter book😂 wakamshow Hawa wanatoka ofisi ya chief wanaandikisha ladies wako hi area ndo wapate dooh. Si alipeana number mpaka Majina full😂 Around 30mins nikamkol akujie pesa ya chief kwenye alipeana jina yake,saa hizo nimevaa official hivo😇 Waah kufika hapo kuniona alifaint tu😂
#mtaachanatu
#ananawechigeikondoo
Part 2 loading

Install Palscity app