Clever Albert created a new article
2 yrs - Translate

Maajabu tisa ya msitu mkubwa duniani wa Amazon | ##natural#news

Maajabu tisa ya msitu mkubwa duniani wa Amazon

Maajabu tisa ya msitu mkubwa duniani wa Amazon

Msitu wa Amazon ni msitu wa asili ambao vitu vyote vilivyomo ndani ya msitu huo siyo vya kutengenezwa bali ni vya asili, ni msitu mkubwa duniani kote, ni msitu wa asili ambao ndani yake kuna maajabu mengi, ni msitu unaopatika katika Bara la Amerika ya Kusini.

Install Palscity app