Richard kibore created a new article
3 yrs - Translate

SIMULIZI SURA YANGU | #palscity

SIMULIZI SURA YANGU

SIMULIZI SURA YANGU

""Inua uso mwanangu""...yule mwanamke taratibu akainua sura yake japo ililoa jasho na machozi Ila Dayana aliiona vyema alikurupuka aliposimama na kumkimbilia yule mtu na kupiga goti kisha akaishika vyema sura ya yule mwanamke kisha kwa uoga na akitetemeka akawageuki

Install Palscity app