Ekiogosimeka nakio okogesa
Palikuwa na mdosi fulani. Kuna chokoraa alikuwa amezoea lunch time lazima aend kwa yule mdosi. Naye kumwona lazima aingie kwa duka lake ampe soda na mkate. Sasa ilikuwa mtindo kwa chokora. Na akimpatia badala ya Asante chakora anasema upandacho utavuna. Ila kwa mdosi akipeana ndivo anauza zaidi. One day jamaa akaenda safari, kawaida ya chokora akafika lo! Bibi kumwona akaingia ndani akafungua soda akatia sumu na akatoa chapati akapatia chokora. Kawaida msemo wa chokora ni ekiogosimeka nakio okogesa na akaenda. Bahati mbaya akakutana na watoto wa mdosi wakalilia chokoraa awape chakula, chokora alipatiana soda akaenda na chapati. watoto walipofika nyumbani walianza kuumwa tumbo yule mdosi aliingia kwa bahati mzuri, watoto walipozidi waliamua kuwapeleka hosipitali, kwa njia baba akawauliza walikula nini. Watoto wakajibu ni soda ya chokora. Wee mama kusikia hivo aliangua machozi alifaint hapo hapo. Baada ya first aid baba kumuuliza ni nini akasimulia vile alivyotendea chokoraa. Na waliweza kuwapoteza watoto wao kabla kupata matibabu.
Kora amaya ase abande