3 yrs - Translate

JE HUYU NI NANI...?

Kwa kukusaidia jina anaitwa👉CHE GUEVARA.
Ni mwanamapinduzi wa kweli aliyewahi kutokea katika dunia hii iliyotawaliwa na mabeberu...nchi nyingi alitembelea na hata kupigana na mabeberu katika kuchangia ukombozi wa nchi hizo.Hata Tanzania katika Azimio la Arusha alihudhuria,Muite Che Guevara,Muargentina aliyetembea nchi nyingi duniani na alikufa Bolovia.

image

Install Palscity app