4 yrs - Translate

How Luhyia damsels use the word 'kwenda' interchangeably.

SCENE 1
Her: Ni ukweli utaninunulia camisole ya white?
You: Eeh, niko serious.
Her: Kwendaaaa (ROMANTIC. She will say it while tapping your hand lightly)

SCENE 2
Her: Ulinitanganya utaninunulia kitu.
You: Sijasahau
Her: Kwenda hukoo (ANNOYED. And it will come out as 'kwenduko'

SCENE 3
Her: Aseyo amukupikiako simu akisema amekosa pesa ya rend?
You: Apana
Her: Kwenda! Unatanganya (DISBELIEF)

Now you folks can go ahead and date my people?

Install Palscity app