3 yrs - Translate

Ndo tumetoka kuzurura na babe na pikipiki yetu nyinyi mkikaa kwa nyumba kama bulb🤸😌😌ameninunilia chipo za 30bob nitakula usiku😋😋zimewekwa tomato na miwa ya 10bob ndo tunapiga maraundi nikikula polepole na patco za 5bob😘😍💃💃aki si ananipenda👩‍❤️‍👨,huyu mkininyanganya heri nitembee na kichwa Hadi loliondo kwa babu😩love is beautiful,naskia kama naweza mzalia Leo🤰,mtoto aanze shule kesho👪 😌😌 mniambie penye zile bag za "I love my teacher"huwa zinabaiwa

Install Palscity app