"MWANZO WA BIBLIA NA EDOO 1"
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
5 Mun