3 yrs - Translate

Nilifungua moyo ili unisome kama Matthew
Hata ukuluke
Uka peter
Ukaenda kutafta queens
Juu ulidai nataka David
But why John
Ukaniacha in a state of lamentation
Nkiimba Psalms
Juu umeshindwa kusom songs of songs
Na siwezi mark
Ulikam na mabeshte zako kama judges
Ikabidi nmejipiga exodus
Lack of trust ndio ilkua Genesis
Ama shida ilikua account yangu haikua na numbers
Sahi unabonga in proverbs
Hata love si maneno but Acts
Unataka kunitema juu sina job
Wachana na story za Daniel

#Biblelove♥

Install Palscity app