ThinkPositive ./ kuwa na mawazo chanya
Sehemu ya kikwazo kikubwa kinacho wakabili vijana wengi wa kizazi cha Leo katika mitazamo yao, ni kuona Kilimo kama sekta ngumu na haiwezi kuwafikisha mbali kimaisha (kuwatoa)
Vijana tambueni hili, Kilimo kina fursa nyingi za kibiashara, tofauti na unavyo fikiri.
Maandiko yanasema walau uwe na imani ndogo kama punje ya haradani utafanikiwa kwenye kila jambo uaminilo. Kila kitu ni Imani hata msomi anaanza chekechea mpaka uprofesa. Na ww anza na ulichonacho
Esther Achila
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?