3 yrs - Translate

Klabu ya Arsenal na Sheffield United wamefikia makubaliano ya dili la Pauni Milioni 24 ambayo itapanda mpaka 30 kwa uhamisho wa Golikipa Aaron Ramsdale

Atasaini mkataba wa miaka 4 ambapo kutakuwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi

1: Mwaka 2020 alishuka daraja na Bournemouth

2: Mwaka 2021 alishuka daraja na Sheffield United

3: Mwaka 2022 ?? Je ? mie sijui bhana
ΒΆ

image

Install Palscity app