3 yrs - Translate

Mwanaume bora kama Mimi ???

Natambua kwamba SEX sio kitu pekee Cha kumridhisha mwanamke??

1. Nina wajibu wa kumjali
2. Kumpa muda wangu (kuzungumza nae)
3. Kumtia moyo
4. Kumsaidia hata kupika n.k

Najua Kuna waume wabeza kwasababu wanaamini Viuno na show zao za kitandani kuliko hayo niliyoandika?

Install Palscity app