3 yrs - Translate

UKIMWI inamaanisha ugonjwa wa “Upungufu wa Kinga Mwilini”, ambao hutokea baada ya mfumo wa kinga wa mtu kuharibiwa na VVU.

Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, zaidi ya watu milioni 37 wanaishi na virusi vya VVU, ambavyo husababisha UKIMWI. Zaidi ya robo tatu wako nchi za Afrika zilizo kusini mwa Jangwa la Sahara. Zaidi ya watu milioni 36 wamekufa kwa maradhi yanayoambatana na UKIMWI duniani.

Install Palscity app