For the lovers of gospel music
Je wewe wataka kutumika na nani? Ni ombi langu mungu aweze kukutumia, unapomwuweka Mungu awe kitambulisho chako utaweza kuvuna mengi
Barikiwa na wimbo wa mama praise akiwa amemshirikishisha Christina Shusho #Gospelworld
#Gospelsongs