4 yrs - Translate

Kumpost hakumfanyi asichepuke
Unaweza ukamuweka status wenzio
Wakamuweka mimba ????

Unapomuomba MUNGU akupe mke
Au mme mwema hakikisha pia na ww
Ni mwema maana MUNGU hakutanishi
Shetan na malaika ??

Install Palscity app