2 yrs - Translate

BAADHI YA MISTARI INAYOPINGANA KATIKA BIBLIA
๐Ÿ‘‰Mathayo 08:28๐Ÿ‘ˆ , *naye alipofika ng'ambo katika nnchi ya wagerasi watu wawili wenye pepo walikutana naye wanatoka makaburini wakali mno hata mtu asiweze kuipita njia ile njia*

๐Ÿ‘‰Marko 5:1-2๐Ÿ‘ˆ *wakafika ngambo ya bahari mpaka nnchi ya wagerasi na alipokwisha shuka chomboni mara akakutana na mtu ambaye ametoka makaburini mwenye pepo mchafu*

Swali je ๐Ÿ‘‰Yesu alikutana na watu wawili wenye pepo kama ilivyoandikwa *Mathayo 08:28* au alikutana na mtu mmoja mwenye pepo kama ilivyoandikwa katika kitabu cha *Marko 5:1-2*๐Ÿ‘ˆ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”, utajua hujui

*Its moment of truth*#bushmoney

Install Palscity app