2 yrs - Translate

Unapokuwa mfugaji unapaswa kuwa na ubunifu ambao utakufanya uokoe gharama na pia kufanya vitu vifuvyo na mahitajio kuwa na thamani mfano mimi nimelifanya dumu la mafuta ya kupikia kuwa chombo cha kulishia kuku

image

Install Palscity app