Akili Tz created a new article
1 y - Translate

MGODI WA RAMADHAN PART 5

MADA: MASAHABA NA WACHAMUNGU WALIVYOJIANDAA NA RAMADHAN | #RAMADHAN #RAMADHANI #RAMADAN

MGODI WA RAMADHAN PART 5 MADA: MASAHABA NA WACHAMUNGU WALIVYOJIANDAA NA RAMADHAN

MGODI WA RAMADHAN PART 5 MADA: MASAHABA NA WACHAMUNGU WALIVYOJIANDAA NA RAMADHAN

Allah amesema kuna miezi 12 katika mwaka ,mitatu imefatana ,mmoja uko peke yake ambao ni Rajab, Rajab ni stepping stone (hatua kuelekea ktk mwezi mtukufu wa Ramadhan) ndomana ndani ya Rajab kuna zawadi na miujiza ya kipekee alipewa Mtume wetu tu hakupewa mwingine yeyote utukufu kama huo, b

Install Palscity app