2 yrs - Translate

💥 STORY NA MAPENZI 💕💥

EP 07

JOYCE :Hello Kiuno please don't be mad
ME:How do you expect me not to be why didn't you tell me.
JOYCE :I was planning to tell you but i feared i would break your heart.
ME:But now you have at least ungeniambia kitambo so sahi nikohapa sijui what to do.
JOYCE : please Kiuno i truly love you nasema ukweli.
ME:If you truly love me si ungesema mapema so angalia what is happening now what do you want me to do. Your man is threatening me.
JOYCE : Kiuno do you still love me.?
ME:Sijui hata kama hii ndio mapenzi sijui kama i know it any more
JOYCE : please Kiuno
ME:NO i give up kabisa
JOYCE : PLEASE i love you Kiuno can we meet and talk this face to face.
ME:what about atupate unataka anifanyie nini. What about you mi sijui hata vitu anakufanyia na uko hapa unanichocha that you love me.
JOYCE :Mi sikuchochi that nakupenda ni ukweli nasema.
ME:OK sawa nikupate wapi then.
JOYCE :Wacha nikam kwako.
ME:wee ati nini ndio aseme hadi nakupeleka kwangu tafuta place ingine staki kukufa mimi i am still young.
So after tumeelewana na Joyce pakumeet then si minikaenda kulala huku nikiwaza na kuwazua what really is going on. Sijui mungu alikua amenisahau ama nini. Anyway niliamua ikue nye itakua. Ata Jeremiah ama sijui alikua nani alioa.... Wenye mlisoma bible mnajua.
Mi nilikua natambua vitu sauti soul walisema so nikajipromise siendi huko.
Asubuhi ikafika kwanza ilikua Friday so hao wislamu waliniamsha na hizo kelele zao. Ilibidi ata kama ilikua 5 asubuhi nipike ka ugali na omena hapo juu ile njaa nilikua nayo ilikua mbaya sana. Kumbe jana yenyewe juu ya stress mob nilikuja kama nimelala.
Ilifika kitu eight nikatoka nikaenda class kwanza nilimake sure niko mbele ndio nisimuone juu maybe ningefaint. Lecture ilikua ya 3hrs but nikosure hakuna kitu niliskia juu kichwa ilikua imajazwa mawazo mengi sana.
After class nikatoka nje huku nimeona chini juu ile aibu nilikua nayo......tbc 8

Install Palscity app