2 yrs - Translate

💥 STORY NA MAPENZI 💕💥

EP 06

Alikaa then akaitisha chakula kwanza ilikua rice na chicken stew. After kukula akaitisha juice kisha ndio akaanza kuongea
HIM:So kijana we ndio unaitwa Kiuno
ME;Eeh ni mimi mkubwa. Hio saa nimeshtuka juu venye amebadilisha sura nilijua si mtu mzuri.
HIM:Na unanijua kijana.
ME:Hapana.
HIM:Eeh so mi naitwa Brayo na Joyce ni my wife.
Mi kuskia hivo nilishtuKa vibaya sana nikaangusha glass nilikua nimeshika nikajimwagia juice.
ME:Sorry unamaanisha nini
HIM: Joyce is my wife what is wrong with you kwani huskii
ME:Pole unamaanisha Joyce yupi?
HIM:Kwani unajua Joyce wangapi wacha nikuambie kijana nikupate na bibi yangu utaona kama nikukumaliza then sawa but bora nishakuambia.
After amesema hivo akatoka akaenda kama ameenda but akaniachia punch kwa table akaniambia nikunywe soda. Mi nilibaki hapo nimechanganyikiwa vibaya sana. Nilibaki nimekaa hapo for about 2hrs bila kufanya anything. Chenye nilikua nimeambiwa ilikua shocking na hard to take. Then nikakumbuka kuna watu walikua wameniambia nijichunge hapo ndio nikaelewa ni mimi pekeangu ndio sikua najua hio story.
Waiter akakuja akaniuliza nataka nini mi kuona bado ile punch iko kwa table nikaitisha food kiasi nikakula then nikajitembeza kwenda home.
Nilifika kama nimeingia bed. Sikutaka kuongea na Joyce hio time juu sikua na words aki. Chenye ilikua immehappen ilikua heartbreaking na nikitu nilikua nimesema staki thats why nimekua single for long untill i met Joyce na sasa nilikua mashakani.
Mi bado nikitulia bed hapo hivi phone ikaring. Kuangalia hivi ni Joyce thats why sikuipick niliacha iring hadi akakata. Alipiga for about five times then akagive up na kuandika message. Mi sijui ni nini iliniingia but nilishtukia nimereply.
JOYCE :Hello Kiuno please don't be mad
ME:How do you expect me not to be why didn't you tell me.
JOYCE :I was planning to tell you but i feared i would break your heart.
ME:But now you have at least ungeniambia kitambo so sahi nikohapa...

Next episode loading 07

Install Palscity app