2 yrs - Translate

💥 STORY NA MAPENZI 💕 💥

EP 05

So si uber ilitushukisha kwa gate yakina Joyce. Tukapiga story kidogo hapo nikichungulia kisiri huko ndani then akanipea ka hug then mwanaume nikatembea kuelekea keja.
Kufika home nilipata ashanitumia message whatsapp.
JOYCE:Hello Kiuno i hope umefika salama
Mi hapo hapo nikakaa chini kwa bed nakureply.
ME:Eeh ndio nafika sahi but niko safe.
JOYCE :Mmmh thats good so form gani sahi.
ME:Mi niko tu chenye iko kwa akili sahi ni vile day ilikua haki nilienjoy.
JOYCE :Pia mi nilienjoy sana.
ME:Thanks for the outing aki i miss you already.
JOYCE:Aki si uko sawa Kiuno umefanya..
ME:nimefanya nini
JOYCE :I think i am into you
Mimi kuskia hivo aki roho inakaa ilisimama kidogo juu nilipata simu iko chini ya bed.
ME:Tell me you are not joking
JOYCE :i am not am serious
ME:wow aki unafanya naskia vizuri...
JOYCE :hahaa natamani kuona reaction zako.

Tuliendelea kuchat hadi nikashtukia ni 1 usiku na hata sijepika supper. Ikabidi nimelala hivo tu.
Siku ilioweza kufuata ilikua Wednesday. So venye tulikutana na Joyce kesho yenyewe sasa sikua na uwogo wowote sasa alikua dem wangu and why should I be afraid na najua nikicheza tu hivi wanaume ni wanaume na mnajua vitu watafanya. So after class tukatembea na yeye polepole hadi kwao then again mimi huyo pekeyangu kwenda kejani.
But venye nilikua kwanjia kuna ka jamaa fulani kalinipigia simu akasema anataka tuongee. Si mi nikakubali then akaniambia pa kukutana kwa hoteli fulani na pia akapromise kunibuyia lunch.
So mimi nikafika kwa nyumba nikavaa croaks na kinyasa yangu kisha nikatoka mbio hadi kwa ile kaoteli. Kufika huyo msee hakua amefika si mi ikakua kukaa hapo nangojea mtu simjui.
Venye mi bado nimetua hapo nikachungulia kwa dirisha nikaona kuna ka Bmw kameingia na kupark hapo. Then msee fulani hapo karibu 35yrs akatoka na kuingia akakuja hadi kwa seat mbele yangu table moja.........tbc 06

Install Palscity app