💥 STORY NA MAPENZI 💕 💥
EP 04
Siku ilioweza kufuata mi niliamka kitu 7:30 nikakunywa chai ya wanafunzi nikajivaa and i was out by 7:40.kufika lec hall nikapata kumbe kulikua na cat na sikua najua wachana hata kujua sikua nimesoma. Bahati yangu haikua imeanza so nikajiseti huko nyuma namabeshte fulani hapo. Nilitafuta Joyce kumbe alikua amekaa mbele but haina noma nikafanya paper then nikasubmit kaa nimetoka nje.
Joyce aliniita then akaniambia nimufuate. Mi sikua najua niwapi ananipeleka but bendera hufuata upepo. Venye tunatembea hivo kaboy fulani akaniambia nijichunge mi sikuelewa so nikamnyamazia na tukaendelea kutembea na dem wangu kaa nimejiona mwanaume sasa.
Dem aliitisha uber tukapanda akalipia na after some time tukafika penye alikua ananipeleka. Yaani ata we ungeona ungeshangaa. Ilikua place ya watu wako na wallet ya maana peke yao. Parking huko niliona magari kubwa kubwa nikajiambia bas nimekwisha. Ikiwa dem ananileta hapa na mi sina pesa nitampeleka wapi. Nilikua nishaanza kulose hope.
Tuliingia ka garden fulani tukakaa chini kwa nyasi tukaletewa juice hapo then tukakunywa pole pole tukiongea. Hapo sikujilate down mistari nilikua nazo wachana zile za kevo na brayoo ii ilikua ya Kiuno mwenyewe.
Hio conversation ilikua sawa juu kuna vitu fulani nilikua nimesoma online ati how to communicate better.
1o not finish untill you partner has finished
2:Think about what you are going to say.
3o not speak reproachfully.
4:Focus on the positive side.
5:speak slowly and without shouting.
6:Tell the truth.
7:Avoid confrontations.
8penly admit when you are to blame.
9:Avoid anger at all cost.
10:Speak at the appropriate time.
So wanaume mnasoma hii mmejua si ufike hapo uanze kupayuka payuka tu ukirusha mistari za kitambo jaribu kua creative kidogo hawa madem wako na akili kadogo ukiwachanganya kidogo washaingia box
Later tulirudi home kaa nimeenjoy aje. Kwanza kuna kitu alisema ataniambia tukifika home kwa phone...#tbc EP 05
Likes and comments ziflow