2 yrs - Translate

Unapokuwa mfugaji unapaswa kuwa m bunifu ili kuongezea thamani ya unacho kifuga huyu kifaranga ni chotara anii ametokana na asili ya kuku Aina mbili jogo ni kuchi na koo ni tanbrooo nili wapandisha Kwa lengo la kupata kuku mnene mwenye nyama na pia mrefu kimo chake

Install Palscity app