Discover postsExplore captivating content and diverse perspectives on our Discover page. Uncover fresh ideas and engage in meaningful conversations
Mchungaji wa kanisa la Kiadventisti mjini Malindi kaunti ya Kilifi Benjamin Mbogo Mwambogo amempongeza aliyekuwa mkuu wa majeshi Jenerali Samson Mwathethe kwa kujenga kanisa huko Jila eneo la Bamba kaunti ya Kilifi.
Mwambogo amesema kuwa kujitolea kwa Mwathethe katika kujenga kanisa hili la Christ The King ni mfano mzuri wa kuigwa kwani ni wachache sana ambao huwa wanajitolea hasa katika maswala ya Mungu.
Vile vile Benjamin amehimiza kwamba mtu anayetoa ndiye anaye barikiwa kulingana na neno la Mungu na kusema kwa mwanadamu linaonekana dogo ila machoni pa Mwenzi Mungu ni kikubwa.
Aidha mchungaji Mwambogo amewashauri waumini kutozingatia Madhehebu na badala yake kuwataka kutembea katika mienendo ambayo inampendeza Mungu.
Samsom mwathethe alistaafu mwezi Mei mwaka jana 2020 na kumpokeza mrithi wake jenerali robert kibochi mamlaka na amekuwa wa tisa kuhudumu kama mkuu wa majeshi nchini.
BITCOIN [BTC] TAPROOT | # #ResearchersOnPalscity #JournalistsOnPalscity #PhotographersOnPalscity
Mchungaji wa kanisa la Kiadventisti mjini Malindi kaunti ya Kilifi Benjamin Mbogo Mwambogo amempongeza aliyekuwa mkuu wa majeshi Jenerali Samson Mwathethe kwa kujenga kanisa huko Jila eneo la Bamba kaunti ya Kilifi.
Mwambogo amesema kuwa kujitolea kwa Mwathethe katika kujenga kanisa hili la Christ The King ni mfano mzuri wa kuigwa kwani ni wachache sana ambao huwa wanajitolea hasa katika maswala ya Mungu.
Vile vile Benjamin amehimiza kwamba mtu anayetoa ndiye anaye barikiwa kulingana na neno la Mungu na kusema kwa mwanadamu linaonekana dogo ila machoni pa Mwenzi Mungu ni kikubwa.
Aidha mchungaji Mwambogo amewashauri waumini kutozingatia Madhehebu na badala yake kuwataka kutembea katika mienendo ambayo inampendeza Mungu.
Samsom mwathethe alistaafu mwezi Mei mwaka jana 2020 na kumpokeza mrithi wake jenerali robert kibochi mamlaka na amekuwa wa tisa kuhudumu kama mkuu wa majeshi nchini.
Install Palscity app