Discover postsExplore captivating content and diverse perspectives on our Discover page. Uncover fresh ideas and engage in meaningful conversations
#NenoLaLeo...
MKONO WA MUNGU UNA NGUVU! Yoshua 4:19-24
Waisraeli walivuka mto Yordani katika siku ya kumi ya mwezi wa kwanza, wakapiga kambi huko mjini Gilgali, mashariki ya Yeriko. Yoshua akayasimika yale mawe kumi na mawili ambayo waliyachukua kutoka mtoni Yordani, huko Gilgali. Kisha Yoshua akawaambia Waisraeli, “Watoto wenu watakapowaulizeni siku zijazo, ‘Je, mawe haya yana maana gani?’ Mtawaambia hivi: ‘Taifa la Israeli lilivuka mto huu wa Yordani mahali pakavu.’ Mtawaambia kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliyakausha maji ya mto Yordani kwa ajili yenu mpaka mkavuka, kama alivyokausha bahari ya Shamu, kwa ajili yetu tukavuka, ili watu wote wa dunia wajue kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu una nguvu; nanyi mpate kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, milele.” Amina! Hakika mkono wa Bwana una nguvu, unatenda mambo ya ajabu na ukiwa juu yako utawashangaza wengi Naomba HUU MKONO UWE JUU YAKO, naijulikane ni Mkono uliojaa nguvu za kutisha!!Tukutane Galilaya! WEKESA
Ulikuwa unasema huu mwaka ni wako
???
Sai umamake pesa ngapi?? Ama bado ?♂️?♂️?♂️
First week of June is all ready over lakini hiyo zero balance imessettle vizuri kwa M-PESA yako nikama imejilipia rent na hujamake hata 5k pekeee????
Mimi sai nishamake over than 30 na bado ni new month ??????? Normalize making money while sleeping, those notifications hits different
Type secure earn
Install Palscity app