*Meta force ni nini?*
Meta force au Force ni jukwaa no.1 linaloundwa kwa kandarasi mahiri (smart contract) zilizounganishwa kwa ajili ya kuanzisha na kuendeleza biashara ya mtandaoni inayoendeshwa na *blockchain.*
Force hufanya kazi kama jukwaa lililogatuliwa (decentralized platform) ambalo huunganisha watu kutoka kote ulimwenguni na hutoa fursa zisizo na kikomo.
Jumuiya ya METAFORCE imeundwa na watu kutoka nchi zaidi ya 200 kote ulimwenguni 💡
Kinachofanya Metaforce iwe ugatuzi (decentralized) kwa 100% ni kuwa Force haina wamiliki au usimamizi. Tangu ilipowekwa kwenye blockchain kama application (smart contract), kutoka wakati huo inajiendesha yenyewe. Hakuna mtu anayeweza kuibadilisha, hata waanzilishi na watengenezaji, kwani smart contract kiasili haiwezi kutenguliwa.
Smart contract ya Force hudhibiti mwingiliano kati ya watumiaji kulingana na programu za uuzaji (marketing).
Watumiaji wote ni sawa, na kila mtu ana fursa sawa za kuunda na kuendeleza biashara yake mtandaoni.
Hakuna mkurugenzi mkuu au mmiliki anayeweza kubadilisha sheria na masharti ya mfumo wa ikolojia wa Force. Waanzilishi ni watumiaji wa kawaida ambao wanafuata sheria na kanuni sawa na watu wengine katika jumuiya ya Force.
• Msingi imara •
Hakuna hatari ya kupoteza pesa kwasababu shughuli zote zinatekelezwa kati ya mtu na mtu(peer to peer) , kutoka kwa wallet moja ya kibinafsi hadi nyingine.
Katika Force, hakuna chochote cha kupoteza. Fedha tayari ziko kwenye pochi za watumiaji. Hakuna kinachoweza kuathiri uchumi wa crypto wa smart contract. Hata tovuti ikizimwa au kuzuiwa, haitazuia Force kufanya kazi. Tovuti ni kiolesura (interface) tu ambacho hurahisisha mwingiliano kati ya watumiaji. Shughuli zote zinafanywa katika blockchain, na haziwezi kuathiriwa kwa vyovyote. Sifa hii Inafanya Force kuwa thabiti kabisa isiweze kuingiliwa na watu wengine, wawe wahalifu, mamlaka, au hata waanzilishi.
• *Blockchain*
Hadi sasa Force inafanya kazi kwenye blockchain ya poligoni, iliyogatuliwa kabisa. (full decentralized)
• *Hakuna ada* (isipokuwa kutoka kwa zile zinazohitajika kutoka kwa blockchain kwa miamala) washiriki wote hulipwa 100% bila tozo na ada za ziada kutoka kwa jukwaa la Force. Hii inawezekana kutokana na vigezo vikali vilivyowekwa wakati jukwaa lilipoundwa. Kila mshiriki wa Force anachukuliwa kuwa sawa, na hakuna ubaguzi katika wasimamizi, waanzilishi, na wengine. Zaidi ya hayo, utekelezaji wa 'cryptomarketing' katika blockchain hautegemei benki, huduma za malipo, au mtu kati yeyote. Hivyo, jumuiya haina ada za ndani zinazopunguza faida yao. Waanzilishi wa Force wanachukuliwa kama washiriki wa kawaida.
• *Uwazi*
Shughuli zote katika blockchain ziko wazi kwa kila mtu aliye tayari kuziangalia. Unaweza kuziona kila wakati, kwa hivyo, unaweza kufuatilia miamala inayoingia na inayotoka kila wakati, pia miamala iliyofanywa na mtumiaji mwingine yeyote wa Force.
*Metaforce ni safari ya maisha kupitia utajiri wa kibinadamu na kifedha. Ni mfumo mzima wa ikolojia ulioundwa ili wewe kama kila mtu mwingine ulimwenguni uweze kutimiza matamanio yako yote.*
*Tafadhali rudi kwangu kwa ufafanuzi wowote*