LOVE GAMES💖
Part 1
Monday morning, kwa saa yangu ya mkono inaniambia ni saa mbili asubuhi, nimesimama kwenye gate ya shule kumgoja mama ambaye nilikuwa nmemwacha nyuma kidogo🙏, macho yangu hayaachi kutazama picha nzuri nzuri na zenye mvuto wa aina yake, zipo kwenye ukuta wa gate❣️. Moyoni mwangu nimeanza kuhisi nikama ndoto yangu ya kusomea kwenye shule ya majuu imeanza kutimia💜. Mbele yangu amesimama bawabu mlinda lango, mwenye macho mekundu kama damu, sura yake ilieleza mengi, haonekani mzee mwenye mzaha😍.
"Kijana samahani, weye ni msomi wa hapa?" Aliniuliza kwa sauti nzito ambayo ilinifanya nishikwe na wasiwasi 🙏.
"La hasha mzee, nmekuja kuomba nafasi tu" nilijikakamua.
"Ahaa, karibu kwenye shule yenye masomo ya hali ya juu, hapa ndipo, umefika mwanangu, ila nilikuwa nishajuwa wewe si wa humu, maana hapa wanafunzi wana heshima," 🤔
🤔 mmh heshima?, Ina maana mm sionekani mwenye heshima🤔. Nilijiuliza kimoyomoyo. "Samahani mzee, una maana gani??".
Kwa kicheko cha kulazimisha, "ndio, wanafunzi wa hapa kamwe hawawezi simama karibu na mtu aliyewazidi kwa umri na wakose kumrushia salamu, hilo tu ndo lilikuwa dhibitisho tosha 🙏".
"Ahaa naomba radhi jamani, shikamoo mzee wangu?" Nilisema kwa aibu, nisijue pa kuficha sura yangu🙈🙈.
"Marahaba kijana, unaonekana chiriku mwenye hana maneno mengi🤔, mie naitwa mzee Kwatu, mm ndimi principal wa hapa🙏🙏😲 naomba kukufamahisha kwamba umeshapita mtihani wa kwanza, una heshima nimeona".
Mwili wote ukaanza kunitetema, "Principal??" Niliuliza kwa mshangao🙆🙆.
"Ndio, mimi ndimi, kwa sasa naomba unifwate🙏". Tulifululiza hadi ofisini, kumbe mama yuashafika, inaoenekana ilikuwa plan yao kunijaribu.
Hata hivyo, nilifanikiwa kupewa nafasi kwa hiyo shule maridadi💗.
Wiki la kwanza kwa shule mpya halikuwa rahisi. Haya yote yanatokea baada ya kutolewa kwa shule niliyojiunga nayo mwanzo kwenye kidato cha kwanza. Nilipofika kw cha pili,, kukatokea mkasa wa moto na hivyo kila kitu kilichokuweko bwenini hakikusaswa na moto🙆🙆. Shule ilipofungwa basi mamangu akaamua kunileta kwa hii shule niliyomo kwa sasa🙏🙏.
Siki yangu ya kwanza darasani🙈. Kila niliyemwangalia alikuwa ameniangalia,, si wa kusmile si wa kunicheka kwa aibu yangu, si wa kunifinyia jicho. Lakn kuna mmoja wao ambaye hata hakuniongelesha, kuniangalia wala kunipa smile🤔🤔. Amerembeka ajabu, big and sexy eyes, akiamka nitawaambia body shape, lkn kwa sura lazma niseme, she has a baby face 😍.
Nilikuwa na haja sana ya kujuwa kwann anakaa tofauti na wengne🤔🤔.
Kama si lazma basi ni kawaida, huwa mgeni akija darasani, kila mtu hutaka kujuwa huyu mtu ni wa aina gani🤔.
My curiosity didn't allowed me to remain seated, though nilikuwa bado mgeni,, sikujuwa ni nani wa kumchukuwa kama rafiki na ni nani wa kumbeba kama adui,, lakn possibility of me being her enemy was over a hundred percent 🙆🙆.
Kabla niamke ili nmsongee nikijifanya naomba notes. Kuna mmoja wao alikuja nilipokuwa nmekaa, sema wengne kumwangalia, mind ikanishow huenda amenipenda na ameshawaambia wengne kuhusu hilo, niliapa kutojiangusha.💪💪.
"Hi, sorry for interrupting your studies, am Hellen lakn wenzangu huniita Cute🙏🙏." She explained.
"Ohh nice to talk to you Cute. Am Trevor, (nikapelela mkono kumsalimia lakn daro yote ikaangua vicheko😲😲 nikarudisha mkono wangu😭😭).
Cute: Sorry Trevor,, huku we don't shake hands, Corona manenos. Yan kwenu haikuwa imefika ama??
Nilijiona fala for first time,, hata maneno niliyokuwa nmepanga kumrushia yote yanihama🙈🙈. "Ooh it's okay, I now know 🙏".
Hellen: So mm ndo class piri😲. Ningependa kujuwa majina yako yote tafadhali🤔. Trevor nani??
Bado nilishangazwa na behaviors za huyo huyo mrembo mwengne🤔. Hata watu walipocheka yeye hakushughulika kuniangalia🤔. Am I ugly??
"Hey Trevor, nimetaka kujuwa majina yako kamili🙏,"
After kumwambia alinirushia kakaratasi kwa locker yangu😲. Sikumind kukasoma hiyo tym, I knew that she was already in love with me❣️. Nilifeel ni kama nmeanza kuwakunywa mapema mapema💪💪. Boy child😂.
After tea break, niliamua nooh, lazma nijue kwa nini huyu dem hana shughuli mingi kama wenzake🙏🙏. Nilisanya ujasiri hadi ukafika kilo moja na nusu then nikasema baasi😂. Liwalo na liwe.
Kwa hii life kila msee ana crush ama amewahi kuwa naye. As for me, my heart had already falling for someone, none other than the different prettiest girl in class ,mwenye hakuwa na shughuli na mm🤔.
Nilipoamka kumwendea kila mtu alinigeuka kwa mshangao 😲,, Cute kwanza ndo hakuamin🙆, alijaribu kunifinyia jicho lakn nikaona ni wivu yake tu,,
"Hey, am Trevor,".
"Am Stacy," she said with lots of smiles on her face.
"WOW, beautiful name, just as your face."
"OMG please stop it, (blushing) am not that beautiful Trevor, I mean stop exaggerating 🧡🧡".
Hapo nikajuwa kitu imeanza kujipa😍.
"Amn't exaggerating Stacy, so am not supposed to praise your beauty ❣️?"
"Who said that Trevor,, (still blushing) okay thanks basi,, now go🙈. You are making me uncomfortable 🙈". She said with an angelic voice... For sure kama mm ningekuwa nyoka basi sijui pangoni ningekuwa nafanya nini😍 ningekuwa nishatoka kitaambo😍.
"Please, can I have your number Stacy, here is mine," I gave her mah number and guess what 💖💖. She took it 😍.
"Yangu ndakukol uipate sawa" she said in a low voice.
"Promise you will call me today Stacy 😋😋".
Her: Today?? Trevor this is a boarding school, kwan una simu huku shuleni wewe?
Me: Chill manze, usichome. But iko kwa Dom kwa bag 😋😋.
Her: It's okay then I'll try.
Me: Nita apriciate sana😍. Si tutabonga lunch time 😍😍.
Her: okay.
The whole class ilikuwa kimia hakuna anyeamini nilichokifanya😁. Kwanza Cute, waah ak si watu wana wivu🤔🤔. Alikuwa hamalizi kuniangalia, usoni alikuwa mwenye mshangao ajabu😲😲.
Nilitembea kiboss, ili kuwaonesha maboys wenzangu jinsi ya kucheza na maneno💪💪. I know Stacy alikuwa amewatisha ju ya upole wake na sura yake ya kazi💪💜. Kwanza nikapita kwa boy fulani hapo pia alionekana mfunny sana kulingana na watu💪. "Oyah bro umechachi..... Akanyamaza ghafla kuangalia nyumba kumbe alikuwa amemwogopa Stacy 🖤💚.
Sema kuenda kukaa chini ndo nisome kale kibarua nilirushiwa na Hellen 😭😭😭. Kwanza karibu nifaint venye nilisoma tu sentence ya kwanza😭😭😭😭.
"Please bro,, usifanye kitu mbaya, huyo unaona amekaa hapo mbele ni madam wetu wa chem, ametumwa ajifanye mwanafunzi ndo aone tabia zako koz umetoka kwa shule yenye ilichomwa na wanafunzi so bado wanakushuku 😲😲,, nmeamua kuandika ndo nikusave manze, she's our deputy principal. Bye bye"
Whaaaat😭😭😭. Mara hiyo Stacy akaamka na kuenda staff room 😭. 2mins later akarudi😲
ngài 😭😭.
Her: Trevor. Follow me to staff room 😭😭.
Just introducing the new story guys.. if you are interested in following it. Please weka like yako ya kwanza manze😭😭😭.
Part two loading....