#NI FRIDAY YA FARAJA YA BWANA.Ni tarehe ikiwa leo ni siku ya 256 tokea tumeuanza mwaka huu 2022.Zimesalia siku 129 ilikuweza kutamatisha mwaka huu.Tunaendea na wiki ya 35.Na
Neno LaLeo 2 Wakorintho 1:3-4.the God of all comfort.Nataka kuzungumza kuhusiana na Mungu wa Faraja.Moyo wangu leo unalilia wengi ambao wanapitia kilio na uchungu kwa kupoteza wapendwa wao ama mali yao.Yaani moyo umejaa uchungu ambao ni Mungu pekee anaweza kuponya,moyo unauma.Neno linasema kuwa Mungu ni Baba mwenye huruma na mwenye kuleta faraja ili nawe ukaweze kuwafariji wengine.Katika uchungu unaopitia,ni Mungu pekee anayeweza kukufariji.Na kutakia siku njema yenye kuwa na faraja ya Bwana.Barikiwa pamoja na jamii Yako........ ..