Palscity Palscity
    #palscity #HarrietOnMoviesAndAnimation #Palscity #HennessyDaily #HennessyWeekly
    Advanced Search
  • Login
  • Register

  • Night mode
  • © 2023 Palscity
    About • Contact Us • Developers • Privacy Policy • Terms of Use • Palscity Affiliates Academy #PalscityGigs • Testing • PalscityTV Live Stream • Table Benefits and Membership Rates • #MyTakeOnPalscity - What People Say • Palscity Launch

    Select Language

  • Arabic
  • Dutch
  • English
  • French
  • German
  • Italian
  • Portuguese
  • Russian
  • Spanish
  • Turkish
Community
Events Blog Market Forum Rewards
Explore
Explore Popular Posts Games Movies Jobs Offers Fundings
© 2023 Palscity
  • Arabic
  • Dutch
  • English
  • French
  • German
  • Italian
  • Portuguese
  • Russian
  • Spanish
  • Turkish
About • Contact Us • Developers • Privacy Policy • Terms of Use • Palscity Affiliates Academy #PalscityGigs • Testing • PalscityTV Live Stream • Table Benefits and Membership Rates • #MyTakeOnPalscity - What People Say • Palscity Launch
Datius Changura
User Image
Drag to reposition cover
Datius Changura

Datius Changura

@Changura
  • Timeline
  • Groups
  • Likes
  • Following 256
  • Followers 116
  • Photos
  • Videos
  • Products
Success come from risking
256 Following
116 Followers
241 posts
Male
15/05/2000
Working at None
Studied at Mtwara college of health and all
Living in Tanzania, United Republic of
Located in Mtwara, Tanzania
image
image
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Washereheshaji Ni watu gani?? | #Kenya

Washereheshaji Ni watu gani??
Movies & Animation

Washereheshaji Ni watu gani??

Washereheshaji Ni watu amabao wanakuawanawekwa mwito katika suala fulani maana kna umuhimu mkubwa mno
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Je wajua dalili za ukimwi | #Kenya

Je wajua dalili za ukimwi
History and Facts

Je wajua dalili za ukimwi

Zipo dalili mbali mbali za ukimwi moja ya izo ni pamoja na
1.kutapika
2.kukonda
3.kutapika
4.vidonda mwili mzma
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Safari Ni Nini?? | #Kenya

Safari Ni Nini??
Arts & Entertainment

Safari Ni Nini??

Safari Ni kitendo Cha kujongeq kutoka eneo moja kwendaa eneo jingne
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Maana ya sumaku | #Kenya

Maana ya sumaku
Gaming

Maana ya sumaku

Sumaku ninkifaa ambacho kina asili ya mvutano katika kuvutana zipo 7bu znapelekea mpka kuwepo mvutano
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Je wajua maana ya tuishi umo umo | #Kenya

Je wajua maana ya tuishi umo umo
Arts & Entertainment

Je wajua maana ya tuishi umo umo

Tuishi umo umo maana yake Ni kua tayri kukubaliana na Hali bila yankubagua kuish umo umo kna umuhimu na mdhara yake pia
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Je nini maana ya mkulungwa???? | #Kenya

Je nini maana ya mkulungwa????
Travel and Events

Je nini maana ya mkulungwa????

Mkulungwa Ni mtu ambaye Ni my way maadili mtu amabaye Hana tabu katika maisha yeye habagui maishanbali hukubaliana na hali
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Nini hua maamzi ya haraka baada ya mtu kuachwa????? | #Kenya

Nini hua maamzi ya haraka baada ya mtu kuachwa?????
Natural & Food

Nini hua maamzi ya haraka baada ya mtu kuachwa?????

Maamzi ya haraka baada ya mtu yeyote kuachwa hua Ni kujiua maana walio wengi huona Kama dunia imewatenga
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Je wajua nini Cha kufanya baada ya kuachwa | #Kenya

Je wajua nini Cha kufanya baada ya kuachwa
Science and Technology

Je wajua nini Cha kufanya baada ya kuachwa

Moja ya Mambo ya kufanya baada ya kuachwa Ni pamoja na
1.kufanya mazoezi
2.kutojiingiza kwenye mapenzi ili kutojikumbusha mpenzi wako
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Je madhara ya kuachwa Ni yapii???? | #Kenya

Je madhara ya kuachwa Ni yapii????
Arts & Entertainment

Je madhara ya kuachwa Ni yapii????

Madhara ya kuachwa Ni pamoja na
1.kifo
2.presha
3.msongo wa mawazo
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Je kuna tofauti gani Kati ya kutumia kondomu na kutotumia kondom wakati wa ngono | #Kenya

Je kuna tofauti gani Kati ya kutumia kondomu na kutotumia kondom wakati wa ngono
Science and Technology

Je kuna tofauti gani Kati ya kutumia kondomu na kutotumia kondom wakati wa ngono

Upo utofauti kwani kutumia kondomu unkua hauko directly na mwanamke lakn uspo tumia kondom unakua directly na mwanamke
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Madhara yatokanayo na hasira | #Kenya

Madhara yatokanayo na hasira
Gaming

Madhara yatokanayo na hasira

Hasira huleta madhara mbali mbali kwa mfano hasira hupelekea kubomoa familia ,kifo ,kukwama kwa maendeleo
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Hasira Ni Nini | #Kenya

Hasira Ni Nini
Economics and Trade

Hasira Ni Nini

Hasira Ni Hali ya kua na huzuni pia kua na sintofaham baada ya kuchanganywa na Jambo fulani
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Uoto wa kupandwa!!!!!!!¡. | #Kenya

Uoto wa kupandwa!!!!!!!¡.
History and Facts

Uoto wa kupandwa!!!!!!!¡.

Uoto wa kupandwa Ni Aina ya uoto ambao unakua umepandwa na mtu Aina ya uoto huu hua inavutia sana
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Uoto wa asili!!!!! | #Kenya

Uoto wa asili!!!!!
Natural & Food

Uoto wa asili!!!!!

Uoto wa asili Ni Aina ya uoto amabao haujapandwa na mtu unaota wenyewe kwenye uso wa duniia
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Aina za uoto!!¡!!!! | #Kenya

Aina za uoto!!¡!!!!
Gaming

Aina za uoto!!¡!!!!

Zipo Aina mbali mbali za uoto kutokana na eneo huska ila Aina kuu za uoto ni pamoja na
1.uoto wa asili
2.uoto wa kupandwa
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Mazingra Ni Nini??? | #Kenya

Mazingra Ni Nini???
Life Style

Mazingra Ni Nini???

Mazingra Ni jumla ya vitu vyote vinavyo mzunguka kiumbe hai katika maisha yake ya kila SKU moja ya vitu hivyo Ni pamoja na majengo,mistu,watu,mimea
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Wajua madhara ya kugubikwa | #Kenya

Wajua madhara ya kugubikwa
News and Politics

Wajua madhara ya kugubikwa

Yapo madhara mengi yatokanayo na kugubikwa moja ya ayo Ni pamoja na
Kifo,presha,
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Nini maana ya neno kugubikwa??? | #Kenya

Nini maana ya neno kugubikwa???
Economics and Trade

Nini maana ya neno kugubikwa???

Neno kugubikwa maana yake Ni Hali ya kushikwa na mshangao fulani baada ya kuangaliaa kitu flani mtu anaweza kugubikwa baada ya kushangazwa na kitu flani
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Yupi mpenzi sahihi?? | #Kenya

Yupi mpenzi sahihi??
Economics and Trade

Yupi mpenzi sahihi??

Mpenzi sahihi Ni yule ambae anajali hisia za yule ampendae paspo kutafta sababu
Like
Comment
Share
Datius Changura
Datius Changura @Changura
2 yrs · created a new article ·

Dalili za ukimwi | #Kenya

Dalili za ukimwi
Arts & Entertainment

Dalili za ukimwi

Moja ya dalili za ukimwi Ni pamoja na
1.kutapika
2.kuharisha
3.kukonda
4.mawazo
Like
Comment
Share
Load more posts

Unfriend

Are you sure you want to unfriend?

Report this User

Edit Offer

Add tier








Select an image
Delete your tier
Are you sure you want to delete this tier?

Reviews

Pay By Wallet

Payment Alert

You are about to purchase the items, do you want to proceed?

Request a Refund