Palscity Palscity
#palscity #HarrietOnMoviesAndAnimation #Palscity #HennessyDaily #HennessyWeekly
Advanced Search
• Login
• Register

• Night mode
• © 2023 Palscity
About • Contact Us • Developers • Privacy Policy • Terms of Use • Palscity Affiliates Academy #PalscityGigs • Testing • PalscityTV Live Stream • Table Benefits and Membership Rates • #MyTakeOnPalscity - What People Say • Palscity Launch

Select Language

• Arabic
• Dutch
• English
• French
• German
• Italian
• Portuguese
• Russian
• Spanish
• Turkish
Community
Events Blog Market Forum Rewards
Explore
Explore Popular Posts Games Movies Jobs Offers Fundings
© 2023 Palscity
• Arabic
• Dutch
• English
• French
• German
• Italian
• Portuguese
• Russian
• Spanish
• Turkish
About • Contact Us • Developers • Privacy Policy • Terms of Use • Palscity Affiliates Academy #PalscityGigs • Testing • PalscityTV Live Stream • Table Benefits and Membership Rates • #MyTakeOnPalscity - What People Say • Palscity Launch
Akili Tz
User Image
Drag to reposition cover
Akili Tz

Akili Tz

@Akili255

• Timeline
• Groups
• Likes
• Following 27
• Followers 598
• Photos
• Videos
• Products
Ni MTU mpole mkalimu na nisie na makuu... Sio mtu wa kila mtu,,, lakini Ni MTU wa watu.
27 Following
598 Followers
493 posts
https://m.youtube.com/channel/UC6U5FL6rYGD6pOzEpuu
Male
1989-03-03
Working at Palscity
Studied at Chang'ombe Secondary School
Living in Tanzania, United Republic of
Located in Wazo Hill, Dar es Salaam, Tanzania
image
image
image
image
image
image
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
6 w · created a new article ·

PSYCHOLOGY BEHIND ADHKAR | #ADHKAR

PSYCHOLOGY BEHIND ADHKAR
History and Facts

PSYCHOLOGY BEHIND ADHKAR

Harold G. Koenig, M.D. (Medical Doctor) wa Chuo Kikuu cha Duke, aliripoti kwamba zaidi ya chunguzi 1500 za kitiba zinazoheshimika zinaonyesha kwamba watu wanaoshika dini na kusali zaidi wana afya bora ya kiakili na kimwili.
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
6 d · created a new article ·

MGODI WA RAMADHAN

MADA: KASORO ZETU KATIKA RAMADHAN NA KIPAUMBELE KIKUU KTK RAMADHAN | #RAMADHAN #RAMADHANI #RAMADAN

MGODI WA RAMADHAN

MADA: KASORO ZETU KATIKA RAMADHAN NA KIPAUMBELE KIKUU KTK RAMADHAN
History and Facts

MGODI WA RAMADHAN

MADA: KASORO ZETU KATIKA RAMADHAN NA KIPAUMBELE KIKUU KTK RAMADHAN

Nyoyo za watu hulainika ndani ya mwezi huu hivyo ni muda wa kufikiria na kuchukua hatua juu ya ndugu zako, jamaa na marafiki, na jamii nzima kuhakikisha wanarejea katika haki.
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
1 w · created a new article ·

MGODI WA RAMADHAN PART 5

MADA: MASAHABA NA WACHAMUNGU WALIVYOJIANDAA NA RAMADHAN | #RAMADHAN #RAMADHANI #RAMADAN

MGODI WA RAMADHAN PART 5 MADA: MASAHABA NA WACHAMUNGU WALIVYOJIANDAA NA RAMADHAN
History and Facts

MGODI WA RAMADHAN PART 5 MADA: MASAHABA NA WACHAMUNGU WALIVYOJIANDAA NA RAMADHAN

Allah amesema kuna miezi 12 katika mwaka ,mitatu imefatana ,mmoja uko peke yake ambao ni Rajab, Rajab ni stepping stone (hatua kuelekea ktk mwezi mtukufu wa Ramadhan) ndomana ndani ya Rajab kuna zawadi na miujiza ya kipekee alipewa Mtume wetu tu hakupewa mwingine yeyote utukufu kama huo, b
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
1 w · created a new article ·

MGODI WA RAMADHAN PART 4

MADA: Hukumu ya Mwanamke mjamzito au anayenyonyesha, mtu mzima asiyeweza kufunga, Kama funga unazodaiwa hujaweza kuzilipa na Ramadhan mbili zimekutana tena au zaidi kila mwaka unapata dharula ya kisheria. | #RAMADHAN #RAMADHANI #RAMADAN

MGODI WA RAMADHAN PART 4 MADA: Hukumu ya Mwanamke mjamzito au anayenyonyesha, mtu mzima asiyeweza .....
History and Facts

MGODI WA RAMADHAN PART 4 MADA: Hukumu ya Mwanamke mjamzito au anayenyonyesha, mtu mzima asiyeweza .....

Allah awatakabalieni nyooote funga zetu za mwaka huu zitufikishe katika daraja adhwiiim amin amin amin.
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
1 w · created a new article ·

MGODI WA RAMADHAN PART 3

FADHILA ZA RAMADHAN | #RAMADHAN #RAMADHANI #RAMADAN

MGODI WA RAMADHAN PART 3

FADHILA ZA RAMADHAN
History and Facts

MGODI WA RAMADHAN PART 3

FADHILA ZA RAMADHAN

Riwaya moja Mtume anasema: ikiwa umma wangu watatambua ni nini hasa Ramadhani, wangelitamani mwaka mzima uwe ni Ramadhani.
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
1 w · created a new article ·

MGODI WA RAMADHAN PART 2

NASAHA ZA AMIIRUNA SHEIKH SAAD D.M KUHUSU MWEZI SHAABAN | #RAMADHAN #RAMADHANI #RAMADAN

MGODI WA RAMADHAN PART 2

NASAHA ZA AMIIRUNA SHEIKH SAAD D.M KUHUSU MWEZI SHAABAN
History and Facts

MGODI WA RAMADHAN PART 2

NASAHA ZA AMIIRUNA SHEIKH SAAD D.M KUHUSU MWEZI SHAABAN

kama hii tu ndo Shaaban, unadhani yanayokuja katika Ramadhani ni makubwa kiasi gani.
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
1 w · created a new article ·

MGODI WA RAMADHAN PART 1

MADA: THAMANI YA FUNGA YA RAMADHAN KWA MUUMIN

| #RAMADHAN #RAMADHANI #RAMADAN

MGODI WA RAMADHAN PART 1 MADA: THAMANI YA FUNGA YA RAMADHAN KWA MUUMIN
History and Facts

MGODI WA RAMADHAN PART 1 MADA: THAMANI YA FUNGA YA RAMADHAN KWA MUUMIN

MGODI WA RAMADHAN PART 1 MADA: THAMANI YA FUNGA YA RAMADHAN KWA MUUMIN
Like
Comment
Share
avatar

Eliaswanjala

true

1
Like
· Reply · 1679324662

Delete Comment

Are you sure that you want to delete this comment ?

avatar

Leonice Mwalimo

Kufunga, ni Hali ya kujinyima, Sala, kujisongeza mbele ya Mungu

1
Like
· Reply · 1679324987

Delete Comment

Are you sure that you want to delete this comment ?

Akili Tz
Akili Tz @Akili255
2 w · created a new article ·

MAISHA YA NDOA NA UCHAMUNGU PART 3 | #NDOA

MAISHA YA NDOA NA UCHAMUNGU PART 3
History and Facts

MAISHA YA NDOA NA UCHAMUNGU PART 3

MAJUKUMU ( DHIMMA) YA MKE KWA MUMEWE (YAANI ADABU AU HAKI AMBAZO MWANAUME ANAZIDAI KUTOKA KWA MKEWE):
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
2 w · created a new article ·

MAISHA YA NDOA NA UCHAMUNGU PART 2 | #NDOA

MAISHA YA NDOA NA UCHAMUNGU PART 2
History and Facts

MAISHA YA NDOA NA UCHAMUNGU PART 2

WAJIBU (DHIMMA) YA MUME KWA MKEWE:
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
2 w · created a new article ·

MAISHA YA NDOA NA UCHAMUNGU PART 1 | #NDOA

MAISHA YA NDOA NA UCHAMUNGU PART 1
History and Facts

MAISHA YA NDOA NA UCHAMUNGU PART 1

TENGENEZENI USHIRIKIANO (KOLABO) NZURI WE NA MKEO YA KUPATA DARAJA ZA JUU ZA JANNA TENA FIRDAUS
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
2 w · created a new article ·

MARADHI YA AYNI NA HASAD PART 2 | #Ayni&Hasad

MARADHI YA AYNI NA HASAD PART 2
History and Facts

MARADHI YA AYNI NA HASAD PART 2

Ayni na Hasadi: Kijicho na Hasadi ni vitu viwili lakini mashambulizi yao ni ya aina moja.
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
2 w · created a new article ·

RADHI YA AYNI NA HASAD PART 1 | #Ayni&Hasadi

RADHI YA AYNI NA HASAD PART 1
History and Facts

RADHI YA AYNI NA HASAD PART 1

Mitihani iko, mi nina yangu na wewe msomaji una yako, almuhim ikitukumba turejee katika muongozo wa dini unatuambiaje.
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
2 w · created a new article ·

MARADHI YA MOYO PART 10 | #MaradhiYaMoyo

MARADHI YA MOYO PART 10
History and Facts

MARADHI YA MOYO PART 10

Je, si jambo la kushangaza kwamba katika ulimwengu wenye teknolojia ya kuokoa muda zaidi, bado tunajikuta tukiwa na shughuli nyingi na tumechoka?
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
2 w · created a new article ·

MARADHI YA MOYO PART 9 | #MaradhiYaMoyo

MARADHI YA MOYO PART 9
History and Facts

MARADHI YA MOYO PART 9

ۚ وَمَن يَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّهِ فَهُوَ حَسْبُهُ ۚ إِنَّ اللَّهَ بَالِغُ أَمْرِهِ ۚ قَدْ جَعَلَ اللَّهُ لِكُلِّ شَيْءٍ قَدْرًا

WA MAY YATTAQILLAA HA YAJ-‘AL LAHU MAKHRAJ
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
2 w · created a new article ·

MARADHI YA MOYO PART 8B | #MaradhiYaMoyo

MARADHI YA MOYO PART 8B
History and Facts

MARADHI YA MOYO PART 8B

Nafsi ya mwanaadamu ni ya kipekee sana, kama unavyoona farasi na punda wote wanaweza kutumika kubeba mizigo lakini farasi na sifa za ziada zinazompa kipaumbele kama uchaguzi bora, anakimbia sana, na ana uzuri ambao, punda na wanyama wengi wengine hawana, wala hadhuru kama simba au chui, ra
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
2 w · created a new article ·

MARADHI YA MOYO PART8A | #MaradhiYaMoyo

MARADHI YA MOYO PART 8A
History and Facts

MARADHI YA MOYO PART 8A

Nafsi si kitu cha kushikika, lakini ina mahusiano makubwa namoyo ndo mana ikitajwa nafsi na maradhi ya moyo yanaingia hapo, nafsi ni kama umeme (hauonekani), Narudia ilmu ya kumjua Allah na ilmu ya kiroho inakaa ktk nafsi.
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
2 w · created a new article ·

MARADHI YA MOYO PART 7 | #MaradhiYaMoyo

MARADHI YA MOYO PART 7
History and Facts

MARADHI YA MOYO PART 7

Uvivu na Kupuuzia manake ni pale hamu yako na shauku yako kushuka juu ya kitu na wasiwasi wako kuhusu hilo unakuwa wewe uhalisia kabisa, jambo ambalo wengi tunapitia. Uvivu ni hisia ya kutotaka kufanya jambo fulani ingawa unapaswa kulifanya. Walakini, uvivu kama dhana ina nyuso nyingi na h
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
3 w · changed his profile picture

image
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
3 w · created a new article ·

MARADHI YA MOYO PART 6 | #MaradhiYaMoyo

MARADHI YA MOYO PART 6
History and Facts

MARADHI YA MOYO PART 6

Jamani maisha yamekuwa magumu sana na kila mmoja kavurugwa, ndomana Viwango vyetu vya iman vinaweza kubadilika-badilika wakati wa mchana, na jioni tofauti kabisa, na hapo chukua sababu ya Kumkumbuka Allah kila saa. Maisha yanaweza kuwa magumu na yenye shughuli nyingi lakini kimsingi Uislam
Like
Comment
Share
avatar

Ben Barasa

Good

Like
· Reply · 1678172500

Delete Comment

Are you sure that you want to delete this comment ?

Akili Tz
Akili Tz @Akili255
3 w · created a new article ·

MARADHI YA MOYO PART 5 | #MaradhiYaMoyo

MARADHI YA MOYO PART 5
History and Facts

MARADHI YA MOYO PART 5

Kwa sababu ni jambo limetushtua imebidi turuke baadhi ya vitu muhimu tutakuja kuvirejea lakini kama mgonjwa yuko ICU inabidi haraka utoe huduma ya kwanza na umpe dozi inayoendana na hali yake. Kama utakuwa umefatilia ktk darasa zilizopita tulisema imani ulokuwa nayo jana si ya leo, na hai
Like
Comment
Share
Akili Tz
Akili Tz @Akili255
3 w · created a new article ·

RADHI YA MOYO PART 4B | #MaradhiYaMoyo

MARADHI YA MOYO PART 4B
History and Facts

MARADHI YA MOYO PART 4B

UKWELI KUHUSU KUPENDA PESA (MALI NI MTIHANI)

Allah anasema waziwazi katika Quran kwamba mali na watoto ni mtihani. Sababu moja ya watu kusitasita kutoa ni kwa sababu wengine wanaogopa itapungua mali zao na basi hawatakuwa na za kutosha kwa familia zao.
Like
Comment
Share
Load more posts

Unfriend

Are you sure you want to unfriend?

Report this User

Edit Offer

Add tier

Select an image
Delete your tier
Are you sure you want to delete this tier?

Reviews

Pay By Wallet

Payment Alert

You are about to purchase the items, do you want to proceed?

Request a Refund