@1638553317690580_148890
NDOTO YAKO IMEBEBA MAFANIKIO YAKO.
Linapokuja suala la mafanikio huwa haijalishi ulienda shule au haukwenda shule kinachomfanikisha mtu ni ile tabia binafsi ya kujielimisha.
Wapo wengi sana ambao elimu zao za darasani ni ndogo sana lakini wamefanya ugunduzi na maendeleo mbalimbali makubwa katika jamii zao, kuna mtu unakuta Shule ya sekondari lakini yeye binafsi hajawahi kufika sekondari
bila kujali ulikwenda shule au haukwenda shule usiache kuliheshimu wazo lako, usiache kutafuta maarifa na ujuzi sahihi.
You can move up and top up
Be sure with you dream and then fight for it.
Believe you have something unique 🤝🏽
#Dont give up any more 💪
A real person and truth maintainer
Install Palscity app
Mildred Alice
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?
Atif Nawaz
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?