@1638368178301390_147236
Mtu Maskini na Tajiri
Tajiri: Wewe mpumbavu Njoo hapa
Mtu masikini: Mimi ?
Tajiri: Ndio ni nani mwingine unamuona kando yako,
Mtu masikini: sawa NIAMBIE,
Tajiri: unataka nini maishani?
Mtu masikini: Namtaka Mungu katika Maisha
yangu,
Tajiri: Mungu ni nani?
Mtu masikini: Yule aliyekupa vitu vyote
Ulivyonavyo
Tajiri: Je! Anakujali ??
Mtu masikini: Ndio ananijali sana,
Tajiri: hahahahaha
Mtu masikini: Nini kikichekesheshasho??
Tajiri: Hebu jiangalie.
Mtu masikini: Ninajivunia hivi nilivyo maana
Mungu ananipenda,
Tajiri :: Vipi kuhusu huyu anayesoma hii!
Je! Mungu huwajali?
Mtu masikini :: ndiyo Mungu huwajali
HEBU TUONE
MUNGU: Leo nimemic mtu huyu anaesoma
maandiko yangu,.
SHETANI: Mtu!!!! Mtu gani hahhahaa,
MUNGU: Huyu anaetabasamu, na kusema shetani
huwa kila siku yeye mbishi,.
SHETANI: Hahaha hapana Ila wewe huwa
unawatetea tu, kila siku nakuambia hakuna mtu
yoyote anaependa kusoma mafundisho yako,
nasema hivyo maana nawaeleza vizuri, # kusoma tu
yenyewe hapa, kashachoka,.
MUNGU: Usinidanganye na usijidanganye sasa kaa
ukijua kuwa leo unaenda kuaaibika maana maneno
haya yatasabaswa mpaka VIBARAKA vyako
vitasoma, na kila mkono utakaoshare na kusema,
AMEN, NTAAMBATANA NA NDOTO ZAKE
BARABARA, MPAKA NIHAKIKISHE AMEFANIKIWA
KAMA ALIVYONISAIDIA KUFANIKISHA NENO HILI
LITAPAKAE KOTE DUNIANI ,.
SHETANI, Mimi huwa si mbishi, tutizame jinsi
unavyoenda kupuuziwa na watu wako na neno lako
wala hawajalisoma , na wala hawatasambaza hii
MWANA WA MUNGU SAMBAZA UJUMBE HUU UWEZAVYO HADI SHETANI ASHANGAE..🙏🙏
Ilikuwa ni mida ya mchana ambapo kijana aliingia ndani ya bus tayali kwaajili ya kufanya safari kuelekea nyumbani akitokea mji wa pili.
Lakini kabla bus halijaondoka ghafla alikuja kichaa na kumnyooshea kidole kijana huku akisema "WE KICHAA SHUKA CHINI"
Abiria wote waliokuwemo ndani ya bus walishangaa na kuangua kicheko kuona chizi anamwita mtu mweye akili timam KICHAA
Baada ya vicheko kutulia kichaa akarudi tena kama kwaida yake akamnyoshea kidole kijana na kurudia maneno yake yaleyale "WE KICHAA SHUKA CHINI"
Kwa mara yingine watu wakacheka huku wengine wakianza kukasirika.
Abiria wakiwa wamenea ndani ya bus na dereva anafunga mkanda kwaajili ya kuanza safari kichaa akarudi kwa mara ya tatu na kusema "NIMESEMA WEWE KICHAA USHUKE CHINI LA SIVYO NAKUSHUSHA MWENYEWE"
Mara hii abiria walikasirika na kuanza kumshambulia kijana kwa maneno huku wakisema "Huyo kichaa unajuana naye na ww ndo sababu ya huyo kichaa kutupigisha kelele hapa"
Kwa hasira kijana akashuka ndani ya bus ili kumuadhibu yule kichaa ile anafika chini mara hamuoni tena kichaa na hajui wapi alipoelekea
Huku nyuma bus likaanza safari na kumuacha kijana palepale kituoni ambapo alisubiri bus lingine linalopita njia ile bila mafanikio.
Baadae kijana akabahatika kupanda bus lingine ambalo lenyewe lilikuwa linapita njia nyingine tofauti na ile ambayo bus la kwanza lilipita
lakini njia zote zikiwa zinaelekea sehem moja.
Kijana alifika nyumbani kwa kuchelewa na akajilaumu kwamba angesafiri na bus alilopanda mwanzo angefika mapema.
Huku akijua aliyemsababishia kuchelewa ni yule kichaa.
Usiku akiwa anaangalia taarifa ya habari likaoneshwa lile basi alilopanda mwanzo likiwa limepata ajali mbaya ya kuungua moto na taarifa zikisema hakuna mtu hata mmoja aliyesalimika kutoka ndani ya basi hilwote wamefari dunia)
Kijana akatokwa na machoz kisha akapiga magoti na kumshukuru Mungu kwa kumtumia maraika waliomuepusha na kifo kupitia kwa kichaa.
-------------------------------------------------------------------
MAOMBI :
Mwenyezi Mungu akutumie maraika wake wakakulinde na kukuepusha dhidi ya mabaya yote yanayopangwa na shetani katika maisha yako.
*******************************************
Ungana na mimi ktk sara hii kwa kusema *AMEN*
SHARE
Kulikuwa na mwanaume mmoja ambaye alikuwa wa umri wa makamo hivi.Alipofikisha umri wa kuoa,akaamua kutembea popote pale ili angaa ampate wa kumwita 'ma nanii'lakini tatizo ni kuwa mwanaume huyo hakujaliwa na ule ucheshi wa kumkaribia mwanamwali na kumweleza aliyoyaadhimia.Woga ukamzidi na akaamua kukaa kapera(kutooa). Kama ingalikuwa amekuja kwako kuomba ushauri ungalimtatuliaje tatizo lake?Wasaidie walo na hilo tatizo.😂😂🤣🤣🤣🤣stay taliban
IAM a hard-working man
Install Palscity app
Shelton Alambe
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?