@1636100162890329_127972
habari wapendwa lipo shamba ambalo bado halijaendelezwa ni heka mia nne tunauza kila heka elfu 30 shilingi ya tanzania shamba linapatikana Tanzania mkoa wa singida wilaya ya Manyoni shamba linafaa kwa mazao ya matunda maembe parachichi korosho na pia linafaa kwa mazao kama yafuatavyo ufuta ulezi mtama njugu. karanga mihogo ya viazi vitamu mahindi na maharage alizeti kunde na hata ufugaji pia hata makazi yanafaa hivyo kwa anae hitaji anaweza kuwasiliana kwa namba hii 0657774314 pia kwa WhatsApp 0782978421 nawakaribisha wote kwa kuu uzito mkubwa katika kufuata sheria zilizowekwa na serikali ya jamuhuri ya muungano tz.
Hello dear, there is a field that has not yet been developed. It is four hundred hectares. We sell every 30 thousand hectares. Tanzanian shillings. The farm is located in Tanzania. Singida region, Manyoni district. peanuts cassava sweet potatoes maize and beans legumes and even livestock also even housing is suitable so for those who need it can contact this number 0657774314 also on WhatsApp 0782978421
TANGAZO TANGAZO TANGAZO
HABARI WADAU WA KILIMO NA UWEKEZAJI MKUBWA KWA MNAO HITAJI MASHAMBA KWA AJIRI YA KUWEKEZA
SHAMBA LINALOUZWA NI SHAMBA PORI HALIJASAFISHWA AU HALIJAENDELEXWA KAMA UNAVYOONA KWENYE PICHA HAPO JUU ZINAVYOJIONYESHA
SHAMBA HILI LIPO MKOA WA SINGIDA WILAYA YA ITIGI KIJIJI CHA MBUGANI ZIPO HEKA MIA 400
SHAMBA HILI SI MALI YA SEREKALI WALA SIMALI YA KAMPUNI SHAMBA HILI NI LA FAMILIA KWA UJUMLA FAMILIA IMERIDHIA KULIUZA NA HALINA MGOGORO WOWOTE
SHAMBA HILI LINAUZWA KILA HEKA NI SHILINGI ELFU30 TU ELFU THELATHINI TU KWA KILA HEKA MOJA
SHAMBA HILI LINAUZWA KUANZIA HEKA 50 HALIUZWI CHINI YA HEKS 50 NIUTARATIBU FAMILIA ILIO UWEKA PIA BEI HIYO NDIO BEI HALISI HAIPUNGUI
UNARUHUSIWA KUULIZA ILI KUPATA TAARIFA SAHII KUTOKA KWANGU KWA NAMBA HII YA 0657774314
MTEJA AKILIDHIA BIASHARA ITAFANYIKA CHINI YA UONGOZI WA SEREKARI YA KIJIJI
SHAMBA LIPO UMBALI WA KILOMETA 12 KUTOKA WILAYANI MANYONI MJINI MPAKA SHAMBANI HAPO
MIUNDOMBINU YA BARABARA IPO VIZURI UNAFIKA MDA WOWOTE ULE SHAMBA LINAFIKIKA KWA USAFIRI WOWOTE ULE NA KWA MDA WOWOTE SHAMBA LIPO KARIBU NA MAKAZI YA WATU UKISAFISHA SHAMBA HILO MAZAO YANAYO LIMIKA HAPO NI KOROSHO INAKUBALI SANA PIA PARACHICHI INAKUBALI MAZAO MENGINE KARANGA ALIZETI UFUTA NJUGU MIHOGO VIAZ VITAMU KUNDE CHOROKO MAHINDI
HATA UKIITAJI KUFUGA MIFUGO ENEO LIPO SAFI KWA UFUGAJI
MAWASILIANO ZAIDI 0657774314 unakaribisha kwa uwekezaji hata ukitaka kujenga shule eneo linafaa kwa aliye nje hata ya Tanzania karibu kwa uzalishaji huu na uwekezaji huu kwa walio nje ya nchi napatikana kwa WhatsApp 0674577384 hili ni kwa WhatsApp tu karibu sana
Install Palscity app
Ndubuisi Obianwuna
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?
Yakobo Pepe
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?
Clever Albert
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?